2 Mambo Ya Nyakati 1:6 BHN

6 Solomoni alipanda mbele ya madhabahu ya shaba iliyokuwa kwenye hema la mkutano. Hapo mbele ya Mwenyezi-Mungu, akatoa tambiko 1,000 za kuteketezwa juu ya madhabahu hayo.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 1

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 1:6 katika mazingira