2 Mambo Ya Nyakati 10:14 BHN

14 na kufuata shauri la vijana wenzake. Basi akasema, “Baba yangu aliwatwika mzigo mzito, lakini mimi nitaufanya kuwa mzito zaidi. Baba yangu aliwapiga kwa mijeledi, lakini mimi nitawapiga kwa mijeledi yenye miiba”

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 10

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 10:14 katika mazingira