2 Mambo Ya Nyakati 10:15 BHN

15 Hivyo mfalme hakuwajali watu kwa sababu jambo hili lilisababishwa na Mungu ili Mwenyezi-Mungu atimize neno lake alilomwambia Yeroboamu, mwana wa Nebati kwa njia ya Ahiya wa Shilo.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 10

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 10:15 katika mazingira