2 Mambo Ya Nyakati 11:21 BHN

21 Rehoboamu alioa wake kumi na wanane na masuria sitini, akazaa watoto wa kiume ishirini na wanne na mabinti sitini. Miongoni mwa wake zake wote na masuria wake, alimpenda Maaka binti Absalomu zaidi.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 11

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 11:21 katika mazingira