2 Mambo Ya Nyakati 12:15 BHN

15 Matendo yote ya mfalme Rehoboamu ya mwanzo mpaka ya mwisho na rekodi ya ukoo yameandikwa katika kitabu cha Kumbukumbu za nabii Shemaya, na Kumbukumbu za Ido Mwonaji. Wakati huu wote, kulikuwa na vita vya mfululizo kati ya Rehoboamu na Yeroboamu.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 12

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 12:15 katika mazingira