2 Mambo Ya Nyakati 13:10 BHN

10 “Lakini kuhusu sisi, Mwenyezi-Mungu, ndiye Mungu wetu, wala hatujamwacha. Tena tunao makuhani wa uzao wa Aroni ambao wanamtumikia Mwenyezi-Mungu, nao husaidiwa na Walawi.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 13

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 13:10 katika mazingira