2 Mambo Ya Nyakati 13:11 BHN

11 Kila siku asubuhi na jioni, makuhani humtolea sadaka za kuteketezwa nzima, na kumfukizia ubani wenye harufu nzuri, tena hupanga juu ya meza ya dhahabu safi, mikate ya kuwekwa mbele ya Mungu, na kukitunza kinara cha dhahabu na kuziwasha taa kila siku jioni. Sisi tunayafuata maagizo ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, lakini nyinyi mmemwacha.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 13

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 13:11 katika mazingira