2 Mambo Ya Nyakati 13:12 BHN

12 Hebu tazameni, Mungu mwenyewe ndiye kiongozi wetu na makuhani wake wanazo tarumbeta zao tayari kuzipiga ili kutupa ishara ya kuanza vita dhidi yenu. Enyi watu wa Israeli, acheni kupigana vita dhidi ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zenu. Hamwezi kushinda!”

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 13

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 13:12 katika mazingira