2 Mambo Ya Nyakati 13:4 BHN

4 Mfalme Abiya alisimama juu ya mlima Semaraimu, ulioko kati ya milima ya Efraimu, akamwambia Yeroboamu na watu wa Israeli, “Nisikilize ewe Yeroboamu na watu wote wa Israeli!

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 13

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 13:4 katika mazingira