2 Mambo Ya Nyakati 14:4 BHN

4 Aliwaamuru watu wa Yuda wamtafute Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zao, na kuzitii sheria na amri.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 14

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 14:4 katika mazingira