2 Mambo Ya Nyakati 18:14 BHN

14 Basi, Mikaya alipofika mbele ya mfalme, mfalme akamwuliza, “Je, twende kupigana vitani huko Ramoth-gileadi au nisiende?” Mikaya akajibu, “Nenda ushinde; Mwenyezi-Mungu atawatia mikononi mwako.”

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 18

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 18:14 katika mazingira