6 Lakini ni nani awezaye kumjengea nyumba ikiwa mbingu zenyewe hazimtoshi, wala mbingu za juu sana? Nami ni nani basi, hata nimjengee nyumba isipokuwa tu kama mahali pa kufukizia ubani mbele yake?
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 2
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 2:6 katika mazingira