2 Mambo Ya Nyakati 2:7 BHN

7 Basi, sasa nitumie mtu mwenye ujuzi wa kutengeneza vyombo kwa dhahabu, fedha, shaba, na chuma, na nguo za rangi ya zambarau, za rangi nyekundu na ya samawati, ajuaye pia, kutia nakshi. Yeye atashirikiana katika kazi hiyo na mafundi walioko pamoja nami katika Yuda na Yerusalemu, ambao baba yangu Daudi aliwachagua.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 2

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 2:7 katika mazingira