2 Mambo Ya Nyakati 20:17 BHN

17 Hamtahitaji kupigana vita hivi. Nyinyi jipangeni tu halafu mngojee, na mtaona Mwenyezi-Mungu akiwashinda kwa niaba yenu. Enyi watu wa Yuda na Yerusalemu, msiogope wala msifadhaike. Nendeni vitani, naye Mwenyezi-Mungu atakuwa pamoja nanyi!”

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 20

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 20:17 katika mazingira