18 Hapo mfalme Yehoshafati akasujudu pamoja na watu wote wa Yuda na wakazi wa Yerusalemu wakamsujudu na kumwabudu Mwenyezi-Mungu.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 20
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 20:18 katika mazingira