2 Mambo Ya Nyakati 20:22 BHN

22 Wakati walipoanza kuimba na kusifu, Mwenyezi-Mungu aliwavuruga akili wanajeshi wa Amoni, Moabu na wa Mlima Seiri waliokuja kupigana na Yuda. Na wanajeshi hao wakashindwa.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 20

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 20:22 katika mazingira