23 Watu wa Amoni na wa Moabu wakawashambulia wenyeji wa mlima Seiri, na kuwaangamiza kabisa. Baada ya kuwaangamiza wakazi wa mlima Seiri wakaanza kushambuliana wao kwa wao, wakaangamizana.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 20
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 20:23 katika mazingira