24 Jeshi la Yuda lilipofika penye mnara wa ulinzi huko jangwani, waliangalia upande wa maadui, wakaona maiti zimetapakaa kila mahali. Hakuna mtu yeyote aliyenusurika.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 20
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 20:24 katika mazingira