6 akaomba kwa sauti akisema, “Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zetu, wewe ndiwe Mungu uliye mbinguni! Wewe unazitawala falme zote duniani; unao uwezo na nguvu, wala hakuna awezaye kukupinga.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 20
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 20:6 katika mazingira