2 Mambo Ya Nyakati 20:7 BHN

7 Ni wewe ee Mungu wetu, uliyewafukuza wenyeji wa nchi hii wakati watu wako Israeli walipoingia katika nchi hii, ukawapa wazawa wa Abrahamu rafiki yako, iwe yao milele.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 20

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 20:7 katika mazingira