16 Kulikuwa na Wafilisti na Waarabu wengine waliokuwa wakikaa karibu na Waethiopia. Hawa, Mwenyezi-Mungu aliwapandisha hasira ili wapigane na Yehoramu.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 21
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 21:16 katika mazingira