2 Mambo Ya Nyakati 21:17 BHN

17 Basi, wakaishambulia nchi ya Yuda, wakaiteka mali yote iliyokuwamo katika jumba la mfalme na kuwachukua mateka wanawe wote na wake zake, isipokuwa Ahazia, mwanawe mdogo.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 21

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 21:17 katika mazingira