2 Mambo Ya Nyakati 21:19 BHN

19 Aliendelea kuugua, na ugonjwa wake ukawa unaongezeka siku hata siku, hata kufikia mwisho wa mwaka wa pili, akafariki dunia katika maumivu makali. Watu hawakuwasha moto kuomboleza kifo chake kama walivyowafanyia babu zake.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 21

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 21:19 katika mazingira