20 Yehoramu alianza kutawala akiwa na umri wa miaka thelathini na miwili; akatawala huko Yerusalemu kwa muda wa miaka minane. Wakati alipofariki, hakuna mtu yeyote aliyemsikitikia. Alizikwa katika mji wa Daudi, ila si katika makaburi ya wafalme.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 21
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 21:20 katika mazingira