2 Mambo Ya Nyakati 22:2 BHN

2 Ahazia, alianza kutawala akiwa mwenye umri wa miaka arubaini na miwili, akatawala kutoka Yerusalemu kwa muda wa mwaka mmoja. Mama yake aliitwa Athalia, mjukuu wa Omri.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 22

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 22:2 katika mazingira