5 Hata alifuata shauri lao, akaenda pamoja na mfalme Yehoramu mwana wa Ahabu mfalme wa Israeli kupigana na Hazaeli mfalme wa Shamu huko Ramoth-gileadi. Nao Washamu walimjeruhi Yoramu.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 22
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 22:5 katika mazingira