6 Kisha akarudi Yezreeli ili apate kutibiwa majeraha aliyoyapata huko Rama, wakati alipopigana na Hazaeli mfalme wa Shamu. Naye Ahazia mwana wa Yehoramu mfalme wa Yuda alimtembelea Yoramu mwana wa Ahabu huko Yezreeli kwa sababu alikuwa mgonjwa.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 22
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 22:6 katika mazingira