6 Asikubaliwe mtu mwingine yeyote kuingia nyumba ya Mwenyezi-Mungu isipokuwa makuhani tu pekee na wale Walawi watakaokuwa wanahudumu. Hao wanaweza kuingia kwa sababu wao ni watakatifu, lakini wale watu wengine wote, watatii amri ya Mwenyezi-Mungu.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 23
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 23:6 katika mazingira