7 Walawi watamzunguka mfalme, kila mtu na silaha yake mkononi; na mtu yeyote atakayejaribu kuingia katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu, atauawa. Mkae na mfalme popote aendapo.”
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 23
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 23:7 katika mazingira