2 Mambo Ya Nyakati 25:10 BHN

10 Hapo Amazia akawaachia wanajeshi waliotoka Efraimu warudi makwao. Basi wakarejea kwao wakiwa wamewakasirikia sana watu wa Yuda.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 25

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 25:10 katika mazingira