9 Amazia akamwuliza huyo mtu wa Mungu, “Tutafanyaje na fedha yote ambayo nimekwisha wapa wanajeshi wa Israeli?” Naye akamjibu, “Mwenyezi-Mungu anaweza kukupa zaidi ya hiyo.”
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 25
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 25:9 katika mazingira