2 Mambo Ya Nyakati 25:13 BHN

13 Wakati huohuo, wale wanajeshi Waisraeli ambao Amazia aliwaachia warudi kwao akiwakataza wasiandamane naye vitani, walikwenda na kuishambulia miji ya Yuda, toka Samaria hadi Beth-horoni, wakaua watu 3,000 na kuteka nyara nyingi.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 25

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 25:13 katika mazingira