14 Amazia aliporejea baada ya kuwashinda Waedomu, alileta miungu ya Waedomu akaifanya kuwa miungu yake, akaisujudia na kuifukizia ubani.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 25
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 25:14 katika mazingira