2 Mambo Ya Nyakati 25:15 BHN

15 Haya yalimkasirisha sana Mwenyezi-Mungu, akatuma nabii kwa Amazia. Nabii huyo akamwuliza Amazia, “Kwa nini unategemea miungu ya watu wengine ambayo hata haikuweza kuwaokoa watu wake wenyewe kutoka mikononi mwako?”

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 25

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 25:15 katika mazingira