2 Mambo Ya Nyakati 25:23 BHN

23 Halafu Yehoashi mfalme wa Israeli alimteka Amazia mfalme wa Yuda, mwana wa Yoashi, mwana wa Ahazia huko Beth-shemeshi, akampeleka hadi Yerusalemu. Huko, aliubomoa ukuta wa mji huo, kuanzia Lango la Efraimu mpaka Lango la Pembeni, umbali wa karibu mita 200.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 25

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 25:23 katika mazingira