24 Alichukua dhahabu yote na fedha hata na vifaa vyote vilivyokuwa katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu chini ya ulinzi wa Obed-edomu; pia alichukua hazina ya ikulu na mateka kisha akarudi Samaria.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 25
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 25:24 katika mazingira