2 Mambo Ya Nyakati 25:25 BHN

25 Amazia mfalme wa Yuda aliishi miaka kumi na mitano baada ya kifo cha mfalme Yehoashi mwana wa Yehoahazi mfalme wa Israeli.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 25

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 25:25 katika mazingira