2 Mambo Ya Nyakati 28:23 BHN

23 Maana aliitolea tambiko miungu ya Damasko iliyokuwa imemshinda vitani akisema, “Maadamu miungu ya Shamu iliwasaidia wafalme wa Shamu, nikiitolea tambiko huenda ikanisaidia nami pia.” Lakini hiyo ilisababisha kuangamia kwake na taifa lote la Israeli.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 28

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 28:23 katika mazingira