2 Mambo Ya Nyakati 30:14 BHN

14 Walianza kazi, wakaziondoa madhabahu zote zilizokuwa Yerusalemu, na nyingine zote zilizotumiwa kufukizia ubani, wakazibeba na kuzitupa katika Bonde la Kidroni.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 30

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 30:14 katika mazingira