2 Mambo Ya Nyakati 30:15 BHN

15 Siku ya kumi na nne ya mwezi huo walichinja mwanakondoo wa Pasaka. Makuhani na Walawi waliona aibu, wakajitakasa na kuleta sadaka za kuteketeza katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 30

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 30:15 katika mazingira