2 Mambo Ya Nyakati 30:16 BHN

16 Walichukua nafasi zao hekaluni kulingana na maagizo yaliyokuwamo katika sheria za Mose, mtu wa Mungu. Walawi waliwapa makuhani damu ya tambiko, nao wakainyunyiza madhabahuni.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 30

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 30:16 katika mazingira