2 Mambo Ya Nyakati 30:21 BHN

21 Waisraeli wote waliokuwa wamekusanyika mjini Yerusalemu waliiadhimisha sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu kwa muda wa siku saba, wakiwa na furaha kubwa. Walawi na makuhani walimsifu Mwenyezi-Mungu kila siku, walimwimbia kwa nguvu zao zote.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 30

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 30:21 katika mazingira