2 Mambo Ya Nyakati 30:26 BHN

26 Kukawa na furaha kuu mno Yerusalemu, maana tangu enzi ya mfalme Solomoni mwana wa Daudi, mfalme wa Israeli, jambo kama hilo lilikuwa halijatokea Yerusalemu.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 30

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 30:26 katika mazingira