27 Kisha, makuhani na Walawi wakawaombea watu baraka zake Mwenyezi-Mungu, naye katika makao yake matakatifu huko mbinguni akayasikia maombi yao na kuyakubali.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 30
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 30:27 katika mazingira