8 Msiwe wakaidi kama babu zenu, ila mtiini Mwenyezi-Mungu. Njoni katika hekalu lake ambalo amelitakasa milele, mumwabudu Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ili asiwakasirikie.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 30
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 30:8 katika mazingira