15 Nao Edeni, Miniamini, Yeshua, Shemaya, Amaria na Shekania, walimsaidia kufanya kazi hiyo kwa uaminifu katika ile miji mingine walimoishi makuhani. Waliwagawia ndugu zao Walawi vyakula, wakubwa kwa wadogo.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 31
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 31:15 katika mazingira