2 Mambo Ya Nyakati 31:16 BHN

16 Tena, bila kujali koo walimoandikishwa, waliwapa sehemu wale watoto wa kiume waliokuwa wametimiza umri wa miaka mitatu na zaidi, na ambao waliingia katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu kila siku kutekeleza wajibu wao. Kila mmoja wao alipata sehemu yake kulingana na huduma aliyotoa kwa zamu yake.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 31

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 31:16 katika mazingira