2 Mambo Ya Nyakati 31:2 BHN

2 Mfalme Hezekia aliwapanga tena makuhani na Walawi katika makundi, akampa kila mmoja wao wajibu maalumu, kuhudumu katika sehemu mbalimbali za hekalu la Mwenyezi-Mungu. Wajibu huo ni pamoja na utoaji wa sadaka za kuteketeza na za amani, kushukuru na kusifu.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 31

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 31:2 katika mazingira