2 Mambo Ya Nyakati 31:3 BHN

3 Kutokana na mali yake mwenyewe, mfalme alitoa sehemu kwa ajili ya sadaka za kuteketezwa asubuhi na jioni, sadaka za siku ya Sabato na wakati wa sherehe za kuadhimisha mwezi mwandamo na zile sikukuu nyingine zilizoamriwa kulingana na sheria ya Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 31

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 31:3 katika mazingira