21 Kila kazi aliyoifanya katika utumishi wa nyumba ya Mungu au katika utekelezaji wa sheria na amri za Mungu ili kufuata uongozi kutoka kwake, alizifanya kwa moyo wake wote, naye akafanikiwa.
Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 31
Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 31:21 katika mazingira